Elimu ya Fedha kwa Waafrika

Pata Uhuru wa Kifedha Kupitia Maarifa

Jifunze kuhusu uwekezaji, masoko ya mitaji, na usimamizi wa fedha. Fintantech inakusaidia kuelewa ulimwengu wa fedha kwa lugha rahisi.

Andiko Kuu

Mfumo wa Fedha (Financial System).
Information

Mfumo wa Fedha (Financial System).

Mfumo wa fedha ni namna maalumu ya kuwaunganisha watu wenye ziada za mitaji (excess funds) pamoja na watu wenye uhitaji wa mitaji. Bila kuwa na namna maalumu ya kuwaunganisha watu hawa, inakuwa ngumu

Jovin Sanga24 Juni 2024
Soma Zaidi

Kwa Nini Fintantech?

Tunaamini kila Mtanzania anastahili kupata elimu ya fedha ili afikie uhuru wa kifedha.

Elimu Rahisi

Maarifa ya fedha yameandikwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili kila mtu aweze kuelewa.

Masoko ya Tanzania

Tunajikita katika masoko ya mitaji ya Tanzania — DSE, UTT AMIS, na mengineyo.

Maarifa ya Kuaminika

Maudhui yetu yanategemea kanuni za uwekezaji zilizothibitishwa na wataalamu.